Mamia ya Michezo ya Kasino
Sisi ndio viongozi katika michezo ya kasino Afrika, tukiwa na
machaguo mengi zaidi ya michezo na huduma: slot machines, crash games, table games, poker, live Vegas games, streaming n.k. Tunatoa michezo bora, ikiwa ni pamoja na mchezo wa kipekee ambao unapatikana kwetu tu wa
Navigator na mchezo maarufu wa
Aviator.
Pia tuna michezo pendwa ya slot machines kutoka genres zote:
Burning Classics,
Fruit Island,
777 Classic Fantastic …
Haijalishi mchezo wako pendwa wa kasino ni upi, tunao!
Zaidi ya Wachezaji 800,000 wamechagua Premier Bet
Kila siku, maelfu ya wachezaji wanatuamini kwa kubashiri kupitia
www.premierbet.co.tz. Tunajitahidi kuwapa odds/alama bora zaidi, michezo bora ya kasino, na huduma ya wateja isiyokuwa na dosari.
Premier Bet ipo kwenye zaidi ya nchi 20 za Ki Afrika
Weka bashiri kupitia mawakala wetu! Tupo kwenye zaidi ya nchi 20 za Afrika: Cameroon, Congo Brazzaville, Malawi, Senegal, Chad, Liberia, Ghana, Guinea, Rwanda, Sierra Leone, Uganda, Mozambique, DR Congo, Mali, Tanzania, Angola, Ivory Coast, Gabon, Nigeria, Togo.
Weka Bashiri na Ucheze mtandaoni kupitia tovuti yetu
Tunapatikana mtandaoni pia kupitia tovuti yetu. Tovuti yetu inatoa matumizi rahisi na haraka. Kwa kubofya sehemu chache tu, bashiri zako zinawekwa au dau lako la michezo ya kasino linachukuliwa.
Kwa huduma ya haraka zaidi,
pakua app yetu sasa.
Bashiri na cheza popote ulipo kupitia
Premier Bet Tanzania.
Huduma zenye Ubunifu
Kati ya huduma zetu zenye ubunifu, tunayo
Premier Bet Zone, ambayo ni huduma yetu ya mtandaoni na kwa mawakala wetu. Weka bashiri yako mtandaoni na lipa moja kwa moja kwa mawakala wetu. Nyepesi na rahisi kutumia!
Na huduma yetu mpya:
Premier Bet TV. Huduma ya kutazama mechi zaidi ya 60,000 mubashara/moja kwa moja mwaka mzima.
Kampuni Inayohudumia Jamii ya Afika
Tupo zaidi ya nchi ishirini kote Afrika. Sisi si kampuni ya kubashiri michezo na kasino tu, bali pia tunashiriki kikamilifu katika maisha ya Waafrika. Lengo letu ni kufanya michezo ipatikane kwa kila mtu, kutimiza ndoto za vijana wenye vipaji vya michezo, kutoa ajira, na kukuza maeneo ya michezo kwa ajili ya jamii.
Na ndio maana tukaanzisha
Premier Project.
Washindi Nguli wa Premier Bet: Ndoto zaidi ya Milioni zimetimizwa
Tangu mwaka 1997, Premier Bet imetimiza ndoto nyingi, na hakuna kitu kinachofurahisha zaidi kama kuona wateja wetu wakifanikiwa. Tunapenda kuona maisha ya wachezaji wetu yakibadilika na kuwa bora. Premier Bet na Premier Vegas ni mahali ambapo wachezaji wakubwa wanakuja kushinda. Tunapenda kuwa sehemu ya hadithi zenu na kusherehekea ushindi wenu kwenye mitandao ya kijamii na blogu yetu. Kila siku, tunabadilisha ndoto zenu kuwa ukweli.
Ofa za Ukaribisho za Kipekee za Ukaribisho
Kukukaribisha, tunakupa
bonasi ya kibabe kwenye amana yako ya kwanza. Tumia bonasi zetu za ukaribisho kwenye michezo au kasino (kuanzia 50% hadi 200%) unapoweka salio kwa mara ya kwanza.
Rahisi na haraka:
tengeneza akaunti ya Premier Bet, fanya amana yako kwa mara ya kwanza, na mara moja utapata mara mbili ya pesa yako!
Cheza Salama
Unaweza
kuweka salio kupitia mashirika mengi salama kama MTN, Orange Money, n.k. Lakini pia na Visa, Mastercard, n.k. Njia ya malipo zinaweza kutofautiana kulingana na nchi ulipo.
Kwa kubofya sehemu chache tu, tengeneza akaunti yenye nenosiri thabiti, weka salio lako, na faidi nyingi kutokana na ofa zetu za ukaribisho.